Kiukweli mtu wa hivyo hayuko kimapenzi na wewe bali yuko kimaslahi kabisa wala haina ubishi. Kama huamini mwambie umepona utaona atakavyoanza kutuma meseji mara ooh baby unajua leo sina hiki.... Fungua macho
Ugumu wa maisha ndio unachangia wazazi kuwa na stress kiasi cha kuwaadhibu watoto adhabu wasizo stahili.
Mimi nilishawahi mchapa Mtoto mpaka akawa hatoi tena chozi kisa utundu akiona nimetoka kazini anaenda kujificha ili tu tusionane akawa ananiogopa Sana hata kunisogelea.
Baadae mama mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.