Recent content by pretoria

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa Nipashe ana ajenda na kazi maalum

    sisi tunaandika habari za majizi haijalishi inawaathiri vipi wezi bali mustakabali wa taifa hili kwa kizazi hiki na kijacho
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa Nipashe ana ajenda na kazi maalum

    KWAHIYO kutokuandika habari za Nicol kunaondoa haki kwa gazeti la Nipashe kufuatilia madudu ya kina Muhongo ?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa Nipashe ana ajenda na kazi maalum

    Mengi alijitokeza hadharani kukanusha na akamuomba MUHONGO athibitishe hadharani umiliki wa hekari hizo alizopewa mzee Mengi...mpaka sasa mUHONGO KACHEMSHA
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa Nipashe ana ajenda na kazi maalum

    kama umetapelewa fedha za NICO, ndio tuache kuandika wizi wa ESCROW ? kwanini tuache kuandika fedha za Escrow sisi kama chombo cha habari...mbona The citizen walipoliibua hili hakusakamwa mmiliki wake ?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa Nipashe ana ajenda na kazi maalum

    mimi ndio Mhariri wa Nipashe , Mzee Mengi hatushinikizi, bali sisi wenyewe kwa uzalendo wa taifa hili changa tumeamua kufanya kazi ya UMMA.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Young People Bring Glory To Africa But Old People Cause Problems " GoodLuck Jonathan.
  7. P

    JamiiForums Tanzania ITV/Radio One, huyu mwandishi wenu wa Musoma ni muongo

    Marato ni huyu hapaaa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kumjibu Zitto niendelee na majukumu mengine

    Zitto moja ya wanasiasa ndumilakuwili nchi hii, anapokua anasaka mkate wake wa kila siku yuko tayari kwa lolote shari au balaaa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Akili Ndogo Kushindana na Akili Kubwa: Ona CV ya Mbunge Lema na CV ya Zitto!!

    usiumize kichwa , huyo jamaa kachanganyikiwa kitambo , hazimtoshi, anaangahika,umri na matendo yake haviendani asilani ! bichwa nazi huyo
  10. P

    JamiiForums Tanzania mimi mgeni , nikaribisheni ndugu zangu

    mimi ni raia wa Tanzania , mkazi wa Shimo la Udongo, nimekua msomaji wa mijadala humu kwa miaka mingi, nami naja kuongeza michango ya hapa na pale.
  11. P

    JamiiForums Tanzania SWALI: Nani Kamuona Mbunge wa MOSHI MJINI Bungeni au Jimboni?

    watu wasioweza kufikiri sawasawa wanaweza kuzungumza sawa na wewe ! kwani kuna viti maalumu wangapi wako busy majimboni ?
Back
Top Bottom