Recent content by Presiesy

  1. P

    JamiiForums Tanzania Land cruiser hard top inauzwa

    Waungwana gari aina ya land cruiser hard top 1HZ inauzwa bei sawa sawa buree Ipo kwenye hali nzuri, nyeupe, inatumia leave spring mbele, low kilometer Na full ac. Mwenye nia apige au atume ujumbe kwenda namba +255756450201. Bei ni million 23 Na maelewano yapo pia.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika rosti la mayai ya kuchemsha

    Ukimenya ilo yai lililochemshwa usilikate bali likaange kama lilivyo na kiini chake ndani
  3. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika rosti la mayai ya kuchemsha

    Jaribu asee utakuja kunambiaa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika rosti la mayai ya kuchemsha

    Hahahahaha aya asante mumiee
  5. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika rosti la mayai ya kuchemsha

    Hahahahaha aya mumiee waiteee
  6. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika rosti la mayai ya kuchemsha

    Usijali best
  7. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika rosti la mayai ya kuchemsha

    Hahahahahaha ni hatariiii asee
  8. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika rosti la mayai ya kuchemsha

    Kuna sehemu nililiona ili pishi nikajaribu kulipika aisee ni tamu asikwambie mtu, hii ni kwa wale wenzangu na mimi wanaopenda kujaribu jaribu mapishiii. MAHITAJI 1: Mayai Manne. 2: Nyanya tatu. 3:kitunguu maji kimoja. 4:pilipili hoho moja. 5: karoti...
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why me?

    Hahahahahahaha Jamaniiii
  10. P

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kiungulia nini?

    Asantee best ntaitafuta
  11. P

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kiungulia nini?

    Asante sana nitaitafuta
  12. P

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kiungulia nini?

    Shukrani best nitajitahid
  13. P

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kiungulia nini?

    Jaman wanajamvi naomba mnisaidie kuniambia dawa ya Kiungulia hii kitu inanitesa sana kwa kweli.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Memory Card 128MB > bajeti yangu ni 2500/= !

    Hahahahahahahahahaha khaaaa :D
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Escot Girl

    Cyo wote jamani kuna wengine wanajiheshimu na wanamjua allah. Ao wa tigo cjui zain ni waarabu wa madrasa waarabu wa darasa la mzungu kidooogo wameelimika.
Back
Top Bottom