Recent content by Pres61

  1. Pres61

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unahitaji nguvu ya ziada kuishinda tamaa ya mapenzi;Kuna nguvu nyingine itakuelekeza huko ili uhangamie na kuwa masikini, ni ngumu kuipinga

    Hapo ni Mungu tu na juhudi zako kumuweka Mungu mbele ndo zinaweza kukutoa hapo. Ila hyo vita ni Kali saana. Hiyo sauti inakuaga na nguvu saana alafu ukishamaliza unajitukana wee na kujiona mpumbavu na Una APA hautorudia tena. Mwisho wa siku unafanya yaleyale
  2. Pres61

    JamiiForums Tanzania Hali gani ilikufanya ujiulize uwepo wa Mungu?

    Najua wengi tunapitia changamoto mbali mbali zinazopelekea kujiuliza kama kweli Mungu yupo. Binafsi kuna changamoto nazipitia ambazo mara kadhaa zimenifanya nijiulize hili swali. Lakini kitendo cha kwamba bado naishi na sijapata hata nguvu za kuumaliza uhai wangu mwenyewe naamini kweli Mungu...
  3. Pres61

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya mchezo wa draft

    Nawaza kuanzisha mashindano ya mchezo wa draft kitaifa. Ni mchezo ambao vijiwe vingi upo na kila kijiwe kina mbabe wake. Na ni mchezo unapendwa na wengi. Swala ni kuandaa proposal nzuri ili ipate na wadhamini pia
Back
Top Bottom