Recent content by PreciousLaddy

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wakulima Kilimanjaro/Arusha...

    Unalima maeneo gani??? Mimi pia ni mkulima niko kilimanjaro
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda - Kuku wa kienyeji ..

    Iko kama alizeti lakin yenyewe inajiotea porin ila unaweza ipanda pia. Mm niliipanda baada ya kuona uzuri wake. Badae nitaipiga picha nikutumie.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda - Kuku wa kienyeji ..

    Naongezea apo na alzeti mwitu mm nimeifumia sana na imenisaidia sana lakini nlikuwa natumia kwa kuku wa kienyeji
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ufugaji wa kuku wa nyama

    Habari wanajamii forum? Naombeni msaada kujua namna ya ufugaji wa kuku wa nyama. Nikiwa namaanisha vyakula wanavyotakiwa kula kwa kila stage, chanjo pamoja na madawa..ahsanteni.
Back
Top Bottom