Recent content by Precious Diamond

  1. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO leo mnafanya mazoezi ya utayari ya El Nino? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme!

    🤣🤣🤣🤣 wapenzi waje kuchukua somo😆😆
  2. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO leo mnafanya mazoezi ya utayari ya El Nino? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme!

    Ni saa kumi na mbili saivi mnatukatia umeme tena, nlitaka niwalaani lakini basi 😒😒 TANESCO
  3. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO leo mnafanya mazoezi ya utayari ya El Nino? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme!

    Mko hapa JF, tupeni taarifa hapa kama mnavyowapa hao wa whatsapp. Imagine mko na tool ya kitanzania, kwaajili ya watanzania inayotuwezesha kupata taarifa kirahisi bila hata ya kuwa kwa 'group' bado mko mnakaza fuvu Nawauliza tena, mmefungua hii page ya nini kama hamuweki updates? Mmefungua hii...
  4. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO leo mnafanya mazoezi ya utayari ya El Nino? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme!

    Halafu, matangazo kama haya muwe mnatoa mara kwa mara... yaani mmeweka tar 16 basi mmemaliza, sijapata huo ujumbe kwa simu kama mnavyofanyaga, limeishia kwenye mitandao ya kijamii... mnaashumu kila mtu aliingia Insta tar 16 na kuona hilo tangazo?🤔😒 Postini mara kwa mara, ikiwemo siku moja kabla...
  5. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO leo mnafanya mazoezi ya utayari ya El Nino? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme!

    Si bora mkate hivyo tujue moja? Kila baada ya dk tano mnakata na kurudisha, mtafidia hivi vitu mtaunguza?
  6. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO leo mnafanya mazoezi ya utayari ya El Nino? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme!

    TANESCO ni nini hiki mnatufanyia wakazi wa Mbezi Beach? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme, mnarudisha mnakata tena! Ni mazoezi ya utayari kupokea El Nino, vile mtakavyokuwa mnachezea switch? Mmepanga kutuunguzia vitu sio? Sijaona ujumbe wowote kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku hii au...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi ya kuilinda Tanzania ni yetu sote!

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika mkutano na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika leo, Julai 30, 2026, jijini Dar es Salaam, amesema jukumu la kuilinda Tanzania ni la kila Mtanzania. "Kazi ya kuilinda Tanzania ndugu zangu ni yetu sote." "Hii si nchi ya mmoja kama naavyoongea. Ni...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna mwenye hati ya kusema hii nchi ni yangu nitafanya ninavyotaka

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kikao na viongozi wa vyama vya siasa kilichofanyika leo, Julai 30, 2026, amesema hakuna mtu mwenye haki ya kudai kuwa nchi ni yake na hivyo kufanya anavyotaka "Hakuna mwenye... hati ya kusema mi hii nchi ni yangu kwa hiyo nitafanya ninavyotaka."...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

    Rais Samia katika kikao na vyama vya siasa leo Julai 30, 2026 amesema hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa nzuri, akibainisha kuwa licha ya hali hiyo, bado kuna upande mmoja ambao unaendelea kutafakari msimamo wake kuhusu masuala ya kisiasa Kwa upande mwingine kisiasa kama mnavyoona tuko...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Kauli ya Nchimbi kuhusu Katiba Mpya ni hadaa za Serikali kwa Umma

    Abdul nondo anasema..... Ngome ya vijana ACT wazalendo tumesikia kauli ya Makamu wa Rais Dkt.Emmanuel John Nchimbi aliyoitoa tarehe 24/Julai/2026 kuhusu hoja ya KATIBA MPYA. Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel John Nchimbi anasema serikali inataka KATIBA MPYA, Rais Samia anataka KATIBA MPYA na CCM...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mwili ulioopolewa Daraja la Salenda wiki iliyopita ni wa nani? Kwanini vifo vya watu kuopolewa vinazidi kuongezeka?

    Tuuane na mapenzi, au vipi Boss? Kitaeleweka tu!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mwili ulioopolewa Daraja la Salenda wiki iliyopita ni wa nani? Kwanini vifo vya watu kuopolewa vinazidi kuongezeka?

    SIo kwamba yeye aliyaendeleza hadi akawa fundi, maana mtangulizi wake nae alikuwa mafia vile vile!
Back
Top Bottom