Recent content by Praxis

  1. P

    Mkapa above the law?: Allegations

    Naomba kuuliza... Maoni yenu ni nini sasa? Ndio hivyo mambo yanafunuka one after the other, about BM and practically speaking, all those who at any one point wameshika madaraka in Afrika. BM, hayupo peke yake na hatakuwa wa mwisho. Kama common mwananchi nauliza, tutafika kweli?[/FONT]
  2. P

    Majibu rasmi ya Mwanakijiji kwa Waziri Mkuu

    The name Mwanakijiji limerudiwa zaidi ya mara 15(yes, kumi na tano!!) kwenye hiyo article ya PM's office. Sasa hiyo huwa tunaita "Chuki Binanfsi", a trait that will always hinder rational thinking and/or a productive response to anything. Shouldn't the PM's office know better jamani?
Back
Top Bottom