Umeizungumza Historia yake ya kitaaluma vizuri sana lakini hapo kwenye kuzaliwa na kukulia kwenye familia ya kimaskini nakupa BIG NOO!!
Marehemu ametokea kwenye familia inayojiweza Baba yake alikua proffesor pale Mzumbe.
Mama yake mzazi na marehemu ni ndugu yang kabisa namuita shangazi nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.