Recent content by Power Mabula

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nape: Siwezi kwenda CHADEMA kumfuata Lowassa niliyemkataa kwa zaidi ya miaka 10!

    Mtu anaacha mke aliyemwambia I love you sembuse kumfuata Lowsa!.muda,wakati na mahala bado havijatimia.time will tell...
  2. P

    JamiiForums Tanzania KAGERA: Rais Magufuli kuanza ziara ya siku nne kuanzia Novemba 6

    Anahisi kaharibu,anaenda kuweka mambo sawa.stay tuned...wahanga wakae mkao wa kula.
  3. P

    JamiiForums Tanzania KAGERA: Rais Magufuli kuanza ziara ya siku nne kuanzia Novemba 6

    Kwetu tanga kaenda mara ngapi tangu aingie magogoni?..nijuzeni wadau.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo zito, hajawahi kutokea Katibu Mkuu wa CCM mkimya namna hii

    Mambo ya kuongea leo kesho mwenyekiti anasema hapana,nani anataka hayo mambo?.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nape: Siwezi kwenda CHADEMA kumfuata Lowassa niliyemkataa kwa zaidi ya miaka 10!

    Kila atokae ni oil chafu.conclusion,wote kule ni oil chafu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimempekala Mtoto Agakhan Hospital Bima (NHIF) Imekataliwa!!

    Kwa michango yenu nimegundua hao Aghakan hawana mkataba na NHIF,kwa nn wasimueleze mh akaelewa?.kusema tu hawapokei card haitoshi.Hata cc tunakumbana xana na hayo majibu kwenye Hosp zetu. Wakicheleweshewa malipo wanakupa tu jibu hatupokei ila hawaelezi kiundani,baada ya muda wanaendelea kupokea...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

    Wana afya nzur.sio kama wale wazee wa ipptl.maputo yatakua yanawatesa xana..
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nape: Nitashughulikia mapungufu nikiwa ndani ya chama sio nje

    Ni sawa na kutaka kuabudu Mungu ukiwa jehanam...haiwezekan
  9. P

    JamiiForums Tanzania Siasa type ya Mbunge wa Mtera Lusinde ni za enzi ya CCM ya Yusuph Makamba.Ukilaza wake unaiabisha Dodoma

    Ukisema huyo hafai bac utafute wenye uwezo wa kujenga hoja za msingi.kwa sababu hao pia hawapo bac kina Lusindee wanahitajika xana....Like lucinde like Muro.kazi ipo mwaka huu...mipasho tu kila kukicha.Hata kwenye kitchen party hakuna upuuz na majungu kma ya kna lucinde...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Zitto kuhusu uchumi wa nchi itakuwa ni kesi ya kwanza na ya aina yake duniani

    Waje jamaa waliotoa ufafanuzi walieleza vipengele ambavyo zitto alitumia kufika conclusion ya hali ya uchumi,na wao wametumia vipengele tofauti.hapo kosa liko wapi?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Serikali yamjibu Zitto Kabwe, yasema anapotosha kuhusu takwimu za pato la Taifa

    Haya mambo hayana direct evidence.nasikia asilimia tu hadi nahisi kuchanganyikiwa.mm naangalia ugumu wa maisha na mzunguko wa pesa tu.haya yote niseme tu hali ni tete xana.
  12. P

    JamiiForums Tanzania DAR: Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana, ametuhumiwa kuvunja sheria ya makosa ya mtandao na kutoa takwimu za uongo

    Asikubali kupimwa mkojo.TS alishatuambia.
  13. P

    JamiiForums Tanzania DAR: Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana, ametuhumiwa kuvunja sheria ya makosa ya mtandao na kutoa takwimu za uongo

    Hadi wakati wa kampeni za uchaguzi?.Basi 2020 kutawaka moto..
  14. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    Nimemuelewa no 1.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli na CCM mpya balaa

    Muachukulie na hatua.sio mnabaki kulalamika tu fulani ni fisadi.umbea hatutaki.
Back
Top Bottom