Imenichukua Dakika nyingi sana kutafakari ukitumia muda gani kuandaa andika bora Kama hili.Hakika andika limebeba uhalisia na kipi kinatakiwa kifanyike.
Kazi nzuri sana Alimalick Mokiwa
Swali la kujiuliza kama mzazi kabla ya kumtafutia Mwanao mke/mume ni kuwa je unapenda mwanao awe na Mke/Mume kama wewe?
Pia kwa kuwa kila mtu ana standard za mwanamke anayehitaji kuwa naye binafsi naona sio vyema kwa mzazi kumchagulia mtoto mume/mke bali jukumu la mzazi ni kumpa mtoto uhuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.