Recent content by Posher

  1. Posher

    JamiiForums Tanzania Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

    Kaka nimesoma Uzi wako Hatua Kwa Hatua, Kila herufi uliyotype nmeielewa into maximum. Me ni mwajiriwa taasisi kubwa tu ya kiserikali of course Niko kwenye position kubwa tofauti na Elimu niliyonayo. Me ni Bachelor tu lakn Niko kwenye position ambayo sisitahili maana wapo wenye Masters na...
  2. Posher

    JamiiForums Tanzania Yu wapi askofu Gwajima, mtetezi wa watekwaji Tanzania na baba wa kiroho wa waumini wa Kanisa la ufufuo na uzima?

    Ile Video aliyopost saa tano usku, hakuwa kanisan alikuwa ashasepa kitambo, Gwajiboy ameingia Vita anayoijua Wala hajakurupuka kuanzisha hili vagi. Unaambiwa hata wale hawakuwa askofu, walikuwa walinzi wake. Kawauza maaskari, akimaliza mfungo wake wa kuliombea taifa mtamuona Tena.
  3. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Basi tuwe wapole japo nitakuta cashout ishatoweka
  4. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa BETPAWA mbona hawaeleweki. Wamefuta bet zote nilizokuwa nimeweka. Kwenye OPEN hazipo na kwenye SETTLED hazipo pia.. Kuna mwingine amekutana na hii kitu?
  5. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkono kofia
  6. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaribuni na option ya EVEN kwenye basketball Iow stake high payment. Asubuh nIiweka 5OO nmekuIa Iakiî tisa
  7. Posher

    JamiiForums Tanzania Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

    Huu Uzi biIa General Lengai OIe Sabaya ni BatiIi
  8. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oya kwenye basketball kuna mhuni amewekaâ option ya EVEN mechií 23 kapiga M18 Kwa jero. Tusikateè tamaaâ maafisa
  9. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Handcap kwenye basketball inamaanisha nn
  10. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna ambayeè ashawasiIiana na wahudum waå sportybet? Anipe way gan aIitumia niwapandie hewan
  11. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sportybet ukidepost kupitia online wanacheIewesha muamaIa kusomaaå kwenye account😥 hasa Airtel money
  12. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahahaha
  13. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa founder wa kuIa Tundaâ kimasihara
  14. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wasafií kuwekaâ heIa ni shughuI hasa sisi wa haIoteI
  15. Posher

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wasafi
Back
Top Bottom