Recent content by Por tengefu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanatamani kusikia nini kutoka kwa watangaza nia?

    Mwanamke mpumbavu atavunja nyumba yake kwa mikono yake. CCM WANAJIMALIZA WENYEWE NYUMBA MOJA WANAGOMBANIA FITO
  2. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanatamani kusikia nini kutoka kwa watangaza nia?

    Bila Shaka utakubaliana na mimi kuwa watanzania tunakabiliwa na changamoto nyingi Za kiuchumi, kisiasa na kijamii lakini cha ajabu watangaza nia wamekuwa wakiegea kwenye jambo moja la Rushwa, je masuala mengine ya UMASKINI, AFYA, ELIMU, MIUNDO MBINU KAMA BARABARA, MAJI, KILIMO MBONA HAWAZUNGUMZII?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Jamaa hakutokea kasulu katokea soko la sabasaba kununua Mboga kaona kila mtu anaenda kuchukua 4m naye kajisogeza big up Sana mshikaji. Japokuwa jamaa katupatia picha fulan
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Ccm imechoka upinzani hawajajipanga tukimbilie wapi sie
Back
Top Bottom