Nipo Kanda ya ziwa,kg 50 ya nje yenyewe last week tuliipata pale Kwa mo Kwa 140000 tumeiuza Kwa 160000,Kagera sugar wameanza kutoa sukari kg 25 inapatikana Kwa 71000 jumla tunaiuza 76000-78000,ndugu yangu Kwa mauzo hayo haufanyi biashara ya jumla,ukichukua mifuko 600 lazima uwauzie wanaoenda nao...
Nipo Kanda ya ziwa,kg 50 ya nje yenyewe last week tuliipata pale Kwa mo Kwa 140000 tumeiuza Kwa 160000,Kagera sugar wameanza kutoa sukari kg 25 inapatikana Kwa 71000 jumla tunaiuza 76000-78000,ndugu yangu Kwa mauzo hayo haufanyi biashara ya jumla,ukichukua mifuko 600 lazima uwauzie wanaoenda nao...
We umesikia story kijiweni ukaja humu kupost uongo,huwezi ukawa na Mataji wa 46 mill na ukaleta mifuko 600,alafu uwe unauza mifuko 10 Kwa siku,kama ni kweli basi upo sehemu mbaya sana kibiashara na unatakiwa uhame hapo ulipo,wenzio wenye mtaji kama huo wanamaliza mzigo within a week,pia faida ya...
Asante Kwa kumuelimisha yy Yuko too general hasomi between the lines,mi nilisema laki na sabuni ilikuwa starting capital na si mtaji wa kuuza jumla,from nowhere huwezi kuanza kuuza jumla Kwa maskini lazima uanze chini kabisa
Unapota kuanzisha mradi mpya na mkubwa,mradi unaomini ukiusimamia vizuri utakutoa basi huna budi kuzingatia jambo Hili la mhimu ambalo wengi Huwa tunalisahau kwenye mipango yetu,jambo lenyewe ni Hili hapa;
Kuzingatia kuwa wewe ni binadamu na unatakiwa kupata mahitaji ya msingi kama...
Ina maana ukianza duka Leo Kwa 30 mil hautaweza kuuza Mali yote ndani ya wiki ukapata 30 mill Tena Bali utauza kiasi inaweza kuwa 10mill hiyo ndo utaenda kununua mzigo Tena kuongeza Kwa bidhaa zilizopo Kwa duka
Ukifanikiwa ukapata maduka madogo 10-20 ya pembezoni ukawateka wote wakawa wananunua Mali kwako hapo utakuwa umewini.Hao tumia mbinu zote wasihame kwako,Mimi dukani Nina wateja wauhakika kama 20 nimewashikilia baadhi ya mbinu ninazotumia
1.nina toroli na pikipiki mteja hana haja ya kuja dukani...
Kwenye duka lolote Kuna Mali za chini na Mali za kwenye ngazi,Kwa wanaofanya biashara ya duka wote concetration kubwa Huwa kwenye Mali ya chini na ndiyo inabeba mtaji mkubwa na ndiyo inayouzika haraka pia faida yake ni kubwa.
Kwa anaeanza duka hana budi kuzingatia Hilo,lazima ukomae na Mali ya...
Inategemea demand ya wateja,minimum 30 mill unaweza kuanza,Kwa maana 20mil inabaki Kwa duka 10mil inakuwa inazunguka,location tafuta eneo ambalo hakuna wenye mitaji mikubwa sana na ambalo Kuna wateja wa kununua wenye mitaji midogo usiogope,Kuna maeneo hata ukiwa na 15 mill unaweza kuuza...
Namba 2 ni best kwako Kwa kuzingatia yafuatayo,mtaji wako si mkubwa,ni biashara yenye uhakika wa mauzo Kila cku na hii itakusaidia kwenye mahitaji,vifaa vya ujenzi yes ni biashara nzuri ila kama huna capital nzuri itakufrastate na usitamani Tena biashara,Anza na simple business Kisha mtaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.