Recent content by poppa_kilex

  1. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    May God rest your soul in eternal peacee mama Celina Ompeshi Kombani Hakika wote tutarejea kwake Mungu akusamehe makosa yako yote na akuhifadhi mahala pema
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais wa chuo cha KCMC asimamishwa masomo mwaka mzima akipigania maslahi ya wanafunzi

    Kwa miaka mingine ada ni ya zamani kutokana na wanafunzi kugomea mwaka jana ada kupanda.... Hvyo ss tunasubiri student union cost ya sep kuhusu jinsi tutavyolipa ada mpya... Ilibd iwe kwa chuo kizoma sema kutokana na mwaka wa kwanza kuja bila mfahamu mzuri ndipo waliaanza kuwatoza ada mpya
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rais wa chuo cha KCMC asimamishwa masomo mwaka mzima akipigania maslahi ya wanafunzi

    Hapa mtoa mada kwakweli kapotosha taarifa... hali ilivyokuwa ni kwamba raisi alijitahidi kucimmunicate na tcu kuhusu ada ya mwaka wa kwanza na wao walitoa maelekezo ya chuo kutokupandisha ada mpaka tcu itapokaaa sept 14 mwaka huu na kupanga utozwaji mpya wa ada mavyuoni.. Baada ya hyo barua...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba, ame-fit viatu vya mzee Mandela

    Warioba ndiye mzee pekee aliyebakia mwenye uchungu na nchi yake ya Tanzania
Back
Top Bottom