Recent content by poposindege

  1. poposindege

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Nimeingia huko, nimembulia patupu sijaelewa nafanyaje
  2. poposindege

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Naomba link kwa Samsung S20 Plus 5g Ni Snapdragon, Android Version 13 kcamp Chief-Mkwawa
  3. poposindege

    Adobe zinagoma ku-Install kwenye LAptop

    Sawa mtaalam tutafata maelekezo Yako. Shukrani sana Kwa msisitizo wa ushauri wako. Ubarikiwe sana.
  4. poposindege

    Adobe zinagoma ku-Install kwenye LAptop

    Nimejaribu Master collection na separate zote zimekataa
  5. poposindege

    Adobe zinagoma ku-Install kwenye LAptop

    Windows 10 na Ad Natumia Windows version 10.0, na Adobe ni 2020 na 2019
  6. poposindege

    Adobe zinagoma ku-Install kwenye LAptop

    Pole mkuu. Tusubiri pengine wataalamu wanaweza kutupa maelekezo yatakayotusaidia
  7. poposindege

    Adobe zinagoma ku-Install kwenye LAptop

    Habari Wakuu Najaribu kuInstall Adobe kama Premiere, Audition, Photoshop na zingine lakini inakataa na kunipa ujumbe (Angalia picha hapo chini) na nimejitahidi kupata maelekezo kupitia google na Youtube sikufanikiwa. Mwenye kujua naomba anisaidie.
  8. poposindege

    Je, mwamba wa Lusaka ( Chama) alikwenda kuomba maji kwa bahati mbaya au alikwenda Kama undercover kupeleleza vinywaji vya waarabu?

    Punguza chuki kijana utapata presha Bure. Mambo ya kususia biashara yanakujaje hapa. Hilo unalolitaka haliwezekani. Watz hawako hivyo. Kwani mmiliki wa timu SI anauza majuisi ya Kila aina, waende nazo uwanjani wawape wachezaji waache kuomba omba Kwa wapinzania wao.
  9. poposindege

    Je simu iliyofanya Factory reset inaweza kurudisha faili zake?

    Kama kicha cha habari kinavyouliza je inawezekana? Kwa bahati mbaya simu yangu katika kubonyeza bonyeza nikafanya Factory Reset na ndani kuna vitu muhimu sana na sikuwahi kufanya Backup ya chochote. Kwa mwenye uelewa wowote anisaidie tafadhali
  10. poposindege

    Mwenye link ya WhatsApp Plus version mpya anisaidie jamani

    Hizi WhatsApp Mod zimeniumiza sana. Nimepoteza mambo muhimu mno baada ya simu kupotea. Nimeshindwa kurudisha files muhimu mno. Backup yake mpaka uwe na file ambalo utahamisha kwenye simu nyingine. Sinahamu kabisa. Kwa mnaotumia muwe na tahadhali sana
  11. poposindege

    Msaada: Hp Folio 1040 mouse touch inajibonyeza yenyewe

    Nimeupdate drivers zote na bado tatizo lipo. Tatizo hiyo unknown device moja ndio nimeshindwa ku Update inaniambia windows was unable to install your unknown device
  12. poposindege

    Msaada: Hp Folio 1040 mouse touch inajibonyeza yenyewe

    Habari wakuu, Laptop tajwa hapo juu inasumbua sana kwenye upande wa Mouse yake yaani inajibonyeza yenyewe pale ambapo unaigusa ili kwenda kubonyeza sehemu fulani uliyoikusudia. Unapojaribu kusogeza kila inapokutana na chochote hapo kati inafungua au kufunga. Nimejaribu ku Update drivers...
Back
Top Bottom