POPO media (wamiliki wa POPO.co.tz - The place to rent anything!) wanatafuta mawakala kutoka mikoa/ wilaya zote za Tanzania. Mawakala hawa wanatakiwa kuwa ni:
- Vijana waliomaliza elimu ya sekondari (kidato cha nne) na kuendelea.
- Wenye ujuzi wa computer na internet/ email.
- Wenye ujuzi wa...
Ellie,
Nimepitia website yenu na nimeona mnakodisha vifaa vya ujenzi. Ushauri: piga picha vifaa hivyo, then weka www.popo.co.tz, kwani wako watu wengi sana wenye shida ya kukodi vifaa vya ujenzi.
Huduma hii ya popo.co.tz hutolewa BURE!
--
POPO Team
TANMO,
www.popo.co.tz iko kwaajili ya kuwaunganisha wakopeshaji (kama wewe) na wakopaji wengi wenye kutafuta bidhaa hiyo! Jiulize, ni wakopaji wangapi watapita katika hii thread na kuja kuona hii message yako kuhusu projector? Jiulize, ni wangapi watasoma hii message yako na kuona kuwa uko...
Wote tunafahamu stoo ni sehemu ya kuhifadhia vitu, lakini kwanini tuhifadhi vitu miezi na miezi ama miaka na miaka bila kuvitumia? Wakati stoo yako inazidi kujaa, huku nyuma kuna watu (makumi kwa mamia) wanaendelea kununua bidhaa hiyo hiyo ili kwenda kutumia mara moja kwa wiki ama kwa mwezi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.