Wanajamii Shkamooni wenzangu ...mambo vp Heri ya mwaka mpya Na kristmass .BWANA awe Nanyi ,Tumsifu Yesu kristo
Nimeona Leo Nije hapa kumwaga Jipu langu Nampenda Sana huyu Bint Long Time Ago Kabla hajaukwaa Ukuu ,Sipendi kusema hayo menginene Sijampendea status Yake nilimpenda tangu akiwa model...
Mabwana Kwema mm Ni kijana wa makamo Miaka michache iliyopita baada ya kumaliza shule na kukaa mtaani nikaona fursa moja Ni kujiajili na nilikuwa mtu mwenye Ndoto kubwa Sana ....I mean in the next 20 years or some ningekuwa Ruppet mwingine wa Bongo ....ghafla nikaaply kazi na baada ya kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.