Upo sahihi kwenye hilo, ila kwanini wazee wanaendelea kutumika ni kutokana na uzoefu walio nao kwenye mambo mbalimbali, na bado serikali inaona ipo tija ya kuwatumia wazee Ili wawarithishe vijana uzoefu waliokua nao, vijana wengi wa sasa, maadili, subira na ujenzi wa fikra tumbuizi unatufanya...