Mtoa mada najua unatuinjoy ila ukweli unaujua lakini nataka ufahamu kwamba tunafahamu fika kwamba tbc ni tv ya taifa maana yake ni tv ya watanzania it mins wafanyakazi wa tbc wanalipwa mshahala kwa kodi za watz hivyo ijitazame yenyewe na viongozi wake kama iliwatendea haki wakati wa election...
Itv wanafanya vizuri sana hengera super brand /mnaisema itv mnaionea hata sisi tusienda chuo tunaona kwanini hamjaisema tbc taifa kwani tbc ni ya ccm?nijuavyo mimi kwauelewa wangu mdogo najua wafanyakazi wa tbc wanalipwa mshahara kwa kodi zetu iweje wapendelee chama cha ccm shem on u 'kumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.