Recent content by polymer0108

  1. P

    David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

    Usikubali tupo nyuma yako
  2. P

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa jimboni Mtama,Lindi - Septemba 23, 2015

    Nape atakanusha kesho, kwamba hzo kadi n feki au wamenunuliwa na matajr wa ukawa
  3. P

    Kwa takwimu hizi nani apewe Jimbo kupeperusha bendera ya UKAWA jimbo la MTAMA...?

    Apewe wa chadema kwa makubaliano ya kina na mgombea wa cuf, naamin mgombea ubunge kupitia chadema ana mtaji mkubwa wa wanaccm zaid ya hao waliojitokeza, ana uzoefu na siasa za nape hapo, na anayajua mapungufu yake.
  4. P

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Kuna makosa mengi sana ya kitaalamu ktk kufanya tafiti hii ya twaweza, japo inatubeba ccm tusijifariji sana. Wapiga kura weng n vijana na wamedhamiria kupiga kura na wengi wanamuunga mkono lowassa
  5. P

    Vurugu ndani ya UKAWA zasambaa mikoa 4 - Mtwara, Tabora, Kilimanjaro na Morogoro...

    eti habari leo, kajarida kanakotumika. kamesahau pia mwanza, dodoma na arusha
  6. P

    Nijiue ama? Kutokana na hii picha na hali yangu

    This mighty be typical seizure disorder , kamuone dakitari uanze dawa huku unaendelea na maombi.
  7. P

    Nape: Tutazuia mafuriko kwa kidole

    Nape unatukera wenzio, unakuwa ka mpinzani sasa wananchi wa mtama tuamuaje sasa?
  8. P

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Midahalo sio jadi yenu ccm, achen unafiki. Jk mbona alikuwa anakimbia
  9. P

    GE2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Wanaccm wenzagu inabd tuwe tunatembea na panadol
  10. P

    Swali kwa vituo vya Television nchini

    Mpinga dhetani kuwa makini,
  11. P

    Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

    Ukisema tu ushindi asilimia 100 ujue unaropoka, hata mtoto mdogo atakudharau ww n div five. Eti ant Ezekiel, hana kitu kabisa. Ndo maana jamaa yangu nilimshaur amkache.
  12. P

    Kutoka Morogoro: Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Tutupieni na video, tuongeze mshikamano. Nimefurah leo mama yangu ambaye mdogowake alikuwa waziri kupitia ccm atampigia lowasa na ukawa. Sasa mambo yako poa nimeikomboa familia yangu nzima watu 13
  13. P

    Hapa kazi tu, Chagua CCM kwa maendeleo yako

    Pole mwanangu pale muleba, siku moja utasoma vizuri
  14. P

    Wasanii Aunti Ezekiel na Vincent Kigosi kutoka UKAWA wajiunga na kampeni za CCM

    Umasikini kitu kibaya sana, viva roma viva polymer
Back
Top Bottom