Recent content by poljontz

  1. P

    JamiiForums Tanzania Vikings Season 5 ni shida.

    sema kwa jinsi navyoona ivar atashinda coz km umecheki ile episode ya mwsho ilikuwa inaitwa "joke" naona km ivar alifanya makusudi kupull out jeshi lake ili jeshi la lagertha lipigane na king harald kwanza wamalizane wapungue
  2. P

    JamiiForums Tanzania Vikings Season 5 ni shida.

    mh hii season 5 ni nomaa sana bora ivar ame lose battle maana alikuwa ana dharau sana ata baba yake hakuwa na dharau vile
Back
Top Bottom