Recent content by political Engineer 2

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini ununue shares za DCB pale DSE (Dar es Salaam stock exchange)

    Kwa mwendo unavyokwenda DCB Bank ni right choice kwa sasa, mwakani tunaanza kuinunua kwa 1,500
  2. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Alikula 1M....nilikuwa nawapa vi incentives kama making, matunda nk
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Mkuu hizi taarifa mpaka niangalie kwenye document lakini nilishazitoa huko nyuma Ila nondo nimetumia 12mm
  4. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Wakuu, Sorry kwa kupotea kidigo..... Nimemaliza kila kitu na kwa sasa linatumika, Ningeweka picha lakini sidhani kama itakuwa busara....
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

    Wakuu naleta mrejesho, Niliingia kwenye kilimo aiseee, nikipata Gunia name tu na wakati niliweka kama 10M ingawa hata shamba nilinunua lakini duuhh kilimo si mchezo, sasa hivi nimeona nirudi dar
  6. P

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    Mkuu unaweza kunitengenezea template ya Annual budget ya kampuni?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Car wash inayoweza kufua viti na carpet

    Wadau naomba mnielekeze wapi Kwa dar naweza pata Car washi inayoongoza kwenye uoshaji wa gari na kung'oa VITI kuisafisha ikarudi kwenye upya wake? Gharama si tatizo please
  8. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta wataalamu wa kupaka rangi

    Hawa wanaoitwa Azam Upholstery Co.Ltd wako vipi mwenye uzoefu nao
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta wataalamu wa kupaka rangi

    Asante sana mkuu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta wataalamu wa kupaka rangi

    Mkuu huko mbali
  11. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta wataalamu wa kupaka rangi

    Wakuu, natafuta mabingwa wa kupiga rangi body ya gari irudi kwenye upya wake kama ndo imetoka japani Leo. Wapi nitawapata? Gharama siyo issue ila ubora ndiyo nautazama. Msaada tafadhali
  12. P

    JamiiForums Tanzania CANVAS Business Model

    Canvas Business Model ni aina gani ya biashara Wakuu?....
  13. P

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Ubungo Riverside

    Hili Eneo kama nalifahamu vile,
  14. P

    JamiiForums Tanzania Hati fungani za kijani kutoka CRDB

    Nasikia riba ni 10.3
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hati fungani za kijani kutoka CRDB

    Jana wakati naangalia Taarifa ya habari nimeona CRDB Bank wamekuja na Huduma ya CRDB GREEN BOND. Hii inaweza kuwa Fursa mpya Kwa wenye pesa iliyokaa tu bila kazi. Embu mwenye kujua zaidi atujuze ili tupeleke sehemu ya pesa tukawekeze huko. Riba yake ni ngapi? ,Muda wa uwekezaji ni gani? N.k
Back
Top Bottom