Ndiyo nidhambi kwa muujibu wa biblia ktk kitabu cha mwanzo38:1-11,punyeto inaitwa onanism baada ya mtu aliyeitwa Onani alipokataa kuendeleza kizazi cha kakayake alpoambiwa azae na shemejie yeye akamwaga mbegu zake nje na ndipo Mungu akamuua onani,hivyo punyeto (onanism also...
Wewe usiye weza kupiga mwanamke yeyote,siyo mkeo tu,basi wewe ulijaaliwa kuwa na hekima,uwezo na nguvu kuliko kundi la wanasiasa wote duniani wakiwekwa pamoja,(au sema hivi;he who can withhold any inflammatory behaviour posed by a weak creature called woman as coined by god is more blessed of...
Mwakyembe namkubali kwa uchapa kazi na ukweli,siyo makamba na rizone,wakipewa hawa mpaka vijiji vya
mababu zetu watapewa wawekezaji,watanzania mfunguke nchi hii ni nchi ya wote siyo koo fulani fulani,msipende kuunda utawala kinepo(nepotism) hao kwa hao angalieni wazazi wao walivyowatesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.