Recent content by Pol M

  1. Pol M

    JamiiForums Tanzania Mabanda ya kuku ya kienyeji kwa bei nzuri

    Yanafaa masaki, siyo sitimbi
  2. Pol M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anataka nimzalie mtoto, namimi nataka kujiendeleza

    Kwani kuzaa ndo mwisho wa kusoma??, sidhani. Cha msingi uwe na uhakika kama kweli anakupenda halafu muoane then zaaa. Hata havo huyo kaka anajitahidi, mi nina 27yrs ila naona nimechelewa xana. Sasa nyiye mnasubiri nini sasa kama kazi mnayo, elimu haina mwisho, ila menopause ipo!!.
  3. Pol M

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya Bandarini: Makontena 11,884 na Magari 2,019 yapita bila kulipa Ushuru, Polisi waanza Msako

    Hii nchi itanyooka kama rula, we subiri tu.
Back
Top Bottom