Recent content by poapoa

  1. poapoa

    Mwaka 2025 nataka niache pombe, niwe mtu wa ibada, mazoezi, nakunywa maji mengi na matikiti maji kwa wingi. Navaa vizuri na kuwa msafi muda wote

    Karibu sana mi toka mwezi wa tano mwaka huuu sinyi pombe asee mungu nimwema nimekuwa msafi najiamin pesa aipote ovyo nakutakia mafanikio mema
  2. poapoa

    Nataka kuoa single mother wawatoto wawili, hata mimi nina watoto wawili pia

    Kupanga ni kuchaguwa mapenzi aya ushauri utayakuta mbele
  3. poapoa

    Yaliyonikuta Tabora 2018, sitachukua kahaba wa kulala nae tena

    Kuna jamaaa alibeba maraya badae akaficha funguo na kusahau Alipo ficha mbona ata Sahau alikaaa ndani paka akakoma
  4. poapoa

    Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

    aseee kama wanawake awajakugusa na tukio unaweza ona mama ila wakikupiga tukio acha basi
  5. poapoa

    Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

    Mimi paka mahakaman paka mwanashelia tena mara 2 toka hapo Sina hamu na wanawake kifupi Akisha ni mbususu namsahau hapo hapo
  6. poapoa

    Wakuu wa Mikoa wote wangefanya kama anachofanya Makonda tungekuwa mbali

    Nilishadhulumiwa almashauri ya Karagwe sina hamu na kitu kinaitwa Halmashauri kabisa, acha Makonda adili nao.
  7. poapoa

    Usiombe kunguni wakukute, utajuta!

    hiyo ndoo huwa dawa Yao kiboko kunguni walisha nitesa sana paka nikatupa kitanda cha mbao na magodoro
Back
Top Bottom