Ipo mbali mbinguni?mtasababisha yale yale ya ngorongoro over population ndani ya ifadhi.fikiria kwanza huo uwanja idadi ya wafanyakaz watao ajiriwa na familia zao wote wataishi ndani ya ifadhi
TANAPA ipo hoi haina pesa wanategemea vipesa vya OC kiduchu hawezi maizia ile project.generally taass nying hazina pesa.Serikali wangerudisha utaratibu wa decentralization kama zamani.
Shida hamjajua aina gani za camera zitafugwa.watu mnazani hizi dau au hikvision kuna camera za barabrani zinatumia fiber optic connectivity na ni intellegent camera zipo expensive sana
Nadhani anamanisha ilo kaburi lilikuwa la kuizia Chadema!sasa mpizani amefufuka imebida afanye sweeming pool!!kwa vile presure ipo juu na mwili joto limepanda kavua na nguo za chama!
Hii sifia sifia alianza mzee wa Chatto,Tanzabia hatukuwa na huu ujinga before utawala wa JK, Mkapa na mzee Mwinyi.yaan nchi imeingia kwenye ujinga sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.