Recent content by Poa 2

  1. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sijawahi Kusaini Mtu Kunyongwa

    Quuma
  2. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM wanafaidika nini na na Muungano?

    Kwa Sasa hakuna faida ya MUUNGANO
  3. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM wanafaidika nini na na Muungano?

    Sasa wanafaidika vp au nn kipo nyuma ya pazia
  4. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM wanafaidika nini na na Muungano?

    Sasa hao CCM wanafaidika vp kaka hebu tusaidiane uelewa na maarifa kaka mshana
  5. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza ndugu wanaompinga, alijimaliza mwenyewe

    Haaa,! P hajaanza kuuma na kupuliza leo
  6. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza ndugu wanaompinga, alijimaliza mwenyewe

    K Kwani huyu maku siku hizi Yuko wapi?
  7. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM wanafaidika nini na na Muungano?

    Habari ndugu! Nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini sijawahi kupata majibu sahihi. Sasa Leo NAOMBA wajuzi wa mambo mnisaidie Kwa dhati kabisa. CCM kinafaidika vipi na huu MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar? Shukrani sana. Tunaitaka Tanganyika yetu.
  8. Poa 2

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Si sahihi Bunge la Ulaya kusitisha misaada nchi ya Tanzania, mapendekezo hayo yanafaa kupingwa kwa nguvu zote

    Kilichobaki Tanzania ni maandamano yasiyo na kikomo au watu kuingia msituni tu. Wenye mamlaka (wahaini, wauaji, watekaji wafiraji Wezi wa kura, mafisadi na watesi wa wananchi) wako juu ya Sheria. Hawataki demokrasia,utawala WA Sheria, uwajibikaji,haki, majadiliano, maridhiano katiba mpya na...
  9. Poa 2

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

    W Mku....ndu kazungumze na mama yako DO tutaelewana tuuu
  10. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Tumedhibiti maandamano kikamilifu bado kundi la Redcross 26

    Sema tumevunja katiba kikamilifu kwani maandamano ni kosa we chawa
  11. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jeshini kwa moto: Wakataa kutumika kisiasa na wanahoji kwanini Magari ya Jeshi yanapigwa Chata za CCM pale Keko?

    Hiyo ni hatua inayofuata watawala wakiendelea kuziba maskio
  12. Poa 2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bishop Kabigumila: Nimenusurikwa kutekwa, baada ya kupost video ya Kapten Tesha

    Pole sana Mungu akulinde
  13. Poa 2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au mbona sielewi?

    Kyumamakoye
  14. Poa 2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wazanzibar wawili wajibakisha kuwania urais wa JMT

    Naandika Kwa uchungu sana, Mtanganyika mwenzetu TUNDU LISU anasoteswa mahakamani bila kosa lolote, Ili asigombee urais chura kiziwi apite, akajitokeza mh. Mpina Mtanganyika mwenzetu naye kawekewa Pingamizi la kihuni Ili kizimkazi aendelee kutapanya mali za Tanganyika Kwa waarabu. Watanzania...
  15. Poa 2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kuipa Majimbo CHAUMMA na kukifanya chama kikuu upinzani Bara

    SaSa Matusi ya nini wewe bichwa maji la kijani
Back
Top Bottom