Recent content by po sumbe

  1. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Naaam naam,hatari hizo wat
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Chivayo, mke wake na wengine 3 kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Tanzania

    Kama akiwa hai hatukufahamu basi hii imeendaa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Chivayo, mke wake na wengine 3 kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Tanzania

    Tunafanana mkuu😂. Anyway comment yangu najua inafanana ma watanganyika wengi.
  4. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    On target ila saved? 🤣
  5. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Ungekua watatu kulingana na submission za wanajamvi hapa jf. Ndio umeshakosa kumbato na nusu😁
  6. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Huyu ndio alikua muwekezaji/mchumaji?
  7. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Jib Kifo ni kifo wacha maisha yaendelee!
  8. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Mtoa mada kamaanisha wengine hawajaachiwa pengo ni mwanya tu 😂
  9. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Kuna mzee mmoja kanichekesha sana,ati huo mwili umeongeza impact chombo kuporomoka kwa nguvu zaidi 😂
  10. P

    JamiiForums Tanzania Takribani watu 40 wamepoteza maisha ajali ya boti Ziwa Tanganyika

    Usafiri wa maji hatari sana hasa msimu wa upepo 💔. Na vyombo local wana-over load sana ,yakitokea majanga idadi ya wahanga inafichwa(nimesikia visiwa vya ukerewe)
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Huwezi ukasema mlitoka wote eneo lenu,at least sema mimi na familia yangu tulitoka/hatukutoka. Mimi mjumbe wangu alijifungia hadi tarehe za mwanzoni mwa November huyu mtoe nahisi hata kura hakupiga😀
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Basi hizo nyaraka 80% hatutakaa tuzione
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Utasikia "nipige kama wewe mwanaume" 😂
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Kuna maneno yameondolewa,uthibitisho ni hizi dots tatu . 😂
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Daah hii ni mbaya sana 😂
Back
Top Bottom