Hii taarifa nahisi watu hawajaelewa na hata Millard Ayo hajaelewa, ECOWAS wametangaza kikosi maalumu kuwa tayari kwa uvamizi ila bado hawajatangaza Kuanza Uvamizi (Declaration of War) maana kuna mvutano.
Karibu Nchi zote za ECOWAS zinabidi kupata vibali kwenye mabunge yao kutuma Jeshi kuingia...
Na cha kuongezea tu, Nigeria [emoji1184] ni rasmi imezungukwa na zile nchi ambazo mapinduzi yametokea na sasa ni washirika wa Urusi [emoji635] .
Serikali ya Nigeria [emoji1184] ipo kwnye wakati mgumu, maana kma Niger [emoji1183] ikishindikana kuangushwa na ECOWAS basi vile vikundi vya kigaidi...
ECOWAS wameogopa kuingia Niger[emoji23], alafu Nigeria [emoji1184] kastuka, kaona mbona Chad [emoji1070] naye kagoma, ina maana akiingiza tu jeshi basi Nigeria [emoji1184] itashumbuliwa kila upade[emoji23][emoji23].
Mkuu inaonekana Lugha inakusumbua kidogo, wameandika “suspect”, uyo aliyekama anahisiwa au kudhaniwa, hvyo bado wanaendalea kuchunguza kujua ni nani asa aliyechoma hiyo show, kutakuwa na suspects wengi watakaokamatwa.
Alafu inaonekana kuna kitu kikubwa Russia anakipanga….Leo wapiganaji kutoka Nepal wameingia Urusi kujiunga kwa mkataba sijui itakuwa ni Wagna or something else, Mrusi kuna kizito anakiandaa.
Ninaamini ipo siku hii ishu ita backfire kwake, wanasimba wanakusanya tu taarifa, siku wakiliamsha basi hatakuwa na jinsi zaidi ya kuwaachie wengine wawekeze au akubaliane na vifungu vya wanasimba, Janja janja hainaga maisha marefu.
Inawezekana mm ndo mtu wa pekee niliyejua toka mwanzo kuwa hii ni mbinu ya kivita, Russia anacheza.
Maana kambi ya jeshi lolote haiwezi vamiwa bila resistance, hapo ndipo nika confirm.
Tukio kama hili, Mkuu wa majeshi anatakiwa kutoa msimamo wa jeshi lake kabla ya Raisi kuhutubia, hapa nako...
Aisee, hivi anayeongoza majeshi ya Ukrain ni nani? Mi nishaanza kudoubt kuwa hawa ni ukrain, nahisi ni majeshi ya NATO, inakuwaje Wa Ukrain uwende kwenye vita wakati mkuu wako wajeshi hajulikani alipo, Raisi kakimbia, hawa watakuwa wanajeshi wa NATO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.