Unalijua lengo la Hamas kukua hadi kujiimarisha kwake lilikuwa lipi?, pamoja na intelligence kali ya MOSSAD, unanambia hawakuwa na taarifa za October 7?, amka usingizini ww!
Nukuu; "From river to the sea"
Mpango huo ni endelevu na watammaliza hata akiwa madarakani...
Trump ni adui na mtibuaji wa biashara yao ya silaha kwa Ukraine na kwingineko kwa hiyo Marekani lazima immalize.
Nakushauri kapime kansa tena kwa kina zaidi.
Mke wangu alikuwa na tatizo km lako na tulihangaika sana lakini dakika za mwisho tukaja gundua ana uvimbe ambao sasa ushakuwa saratani iko stage 3...
Ukatili wa kijinsia kwa watoto ni kitendo chochote anachoweza kufanyiwa mtoto na kikasababishia madhara ya kimwili, kisaikolojia na kiafya. Ukatili wa kijinsia kwa watoto unaweza kusababisha madhara mengi ikiwemo mtoto kutengwa katika jamii, mtoto mwathiriwa wa ukatili kujiua na mateso mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.