Recent content by PmA

  1. P

    JamiiForums Tanzania Huyu pia nimemshindwa,anapigiwa simu na wanaume sana

    we mwenyewe unaonekana paka tu. demu wa FB ndo unategemea atulie. jitathmini kwanza wewe mwenyewe. mzinzi atao mzinzi mwenzie tu.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kizazi hiki hakitaiondoa CCM madarakani

    TUSIFIKIRIE KUITOA CCM madarakani kwanza. Tufikirie kutoa UOGA kwa kila mwananchi kwanza. Tufikirie kutoa kama si kupunguza roho za UBINAFSI kwanza kwa kila mwananchi. Tufikirie KUJITOA kwa ajili ya NCHI yetu kwanza. tufikirie KURUDISHA UZALENDO kwa nchi yetu baina ya mtu mmoja mmoja. Kila...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Nimemsamehe kwa kweli
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    ushasikia mtu kafanikiwa kwa kukatisha watu tamaaa?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    hivi dawa gani za wadudu wa kwenye vitunguu zinafaa, dawa zipi za ukungu wa kwenye vitunguu zinafaa, mbolea ipi nzuri kwa kitunguu, booster ipi nzuri kwa kitunguu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    Daah hii kali, baada ya kutumbua zile billioni tatu zilizosemekana kumfanya ajiuzulu, leo anasema anarudi kupambana dhidi ya ukandamizaji wa demokrasia.... what a shame!
Back
Top Bottom