Recent content by Plug

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nani kuchukua ubunge Segerea

    Mtatiro.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Matapeli hawa ulikutana nao wapi?chukua tahadhari

    Walisema pia mjini wajinga wengi zaidi. Na ndio maana karata tatu , sijui shinda gari , tv na music kila siku watu wanawaona hao matapeli wamevipanga pale lakini siku moja na wao hujaribu na kuonja joto yake
  3. P

    JamiiForums Tanzania Matapeli hawa ulikutana nao wapi?chukua tahadhari

    Hawa jamaa mbeya hapa kabla ya bank nmb loleza . Wanawaibia watu sana hadi huku jacaranda wanafika wanawatapeli hata dada wa nyumbani.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mapipa au chombo chenye ukubwa wa pipa ili mradi tu kiwe stainless ya ukweli

    Nenda sido au veta wanaweza kukutengenezea kwa ukubwa unaoutaka...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Fare thee well comrade mtoi

    R I P comender mtoi.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Machine za kamari za Kichina katika mitaa mingi ya jiji. Je Serikali inatambua?

    Wadau naomba kuuliza kuuliza, juu ya uwepo wa machine za kamari kwenye mitaa mingi jijini hapa serekali inalitambua hilo? Maana nijuavyo mimi mtu anatakiwa kutumia ni lazima awe ametimiza umri wa miaka kumi na nane. Sasa hizi za mtaani hata watoto wanacheza kwani zipo mpaka kwenye magenge ya nyanya.
Back
Top Bottom