Umofia ndugu zangu kutoka Bongo Land !
Binafsi ilifikia Time nikahisi Ubongo una- cease kwa ubishani ambao hauna faida kwa Mwananchi wa kawaida mfano, atasimama Waziri atasema hakuna kama Mama kaleta Maji na kajenga Shule nyingi Nchini. Swali baada ya kuleta maji watu wana uhakika na upatikanaji...
Umofia wana JF.
Nimeona nitoe maoni ya Mada ambayo imeleta taharuki ingawa kwa wengine waliipotezea tangu kuanza Mchakato wake.
Nimeona watu wakiongea sana kuhusu ripoti ya Judge Chande kuwa ina Ukasuku mwingi ndani yake haina matokeo yenye mvuto kwa Jamii.
Tumekuwa na shida ya kuamini hawa...
Guys wajinga sio Bongo tu na Mwangosi na Dube wana Role Model wao huku England.
I was very FLABBERGASTED a such Professional Player, you turn a clumsy cross while you've an option to score or give a cross earlier before the critical deadlock from the two defenders.
Number of goals this season...
Tume na Report ni vya Rais (Rais Samia) hao wanasiasa wataipata wapi ili waisome. Nadhani kwa sasa Pseudo Politicians watafute namna bora ya survival. No one is Ignorant
Umofia Wadau.
Nipo ndotoni ndugu zangu kiukweli, hivi watu wamekufa kiasi kile ila Viongozi hawajutii wala kusikitika wanachofanya ni kujipalilia waendelee "KULA"
Labda wale wa Rohoni mnipe tafsiri sahihi ya hili bila kujali Imani ya Dini zenu:-
1. Kila mtu aitii Mamlaka iliyo kuu;kwa maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.