Hakuna lolote hapo ao wanawake ni kiungo muhimu sana hapa duniani na hata Mwenyezi Mungu anajua kwasababu bila hao wanaume wengi wangeishia kua wapiga punyeto tu
Nimeyasoma maelezo yako yote hatua kwa hatua lakini nimegundua kwamba wewe ndio mwenye msongo wa mawazo tena inaonekana umeachwa na mwanamke ambaye ulimpenda sana aseeee pole sana mkuu ndio maisha ya Dunia yalivyo vumilia utapata mwingine.
Kama unaona unahitaji kukaa nayo moyoni then kinacho kuleta JF kuwalaumu wanao onyesha furaha zao na kuwaita washamba ni nini unaonaje kama ukikaa kimya na uache wengine wafurahie maisha yao kwa amani na wewe ukae na siri zako kwa amani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.