Recent content by Play station

  1. Play station

    Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    NAWASHUKURU WOTE MLIONIJIBU MAJIBU NA USHAURI NIMEUPOKEA KWA MIKONO MIWILI , MAJIBU MENGINE MAZURI ,MENGINE YANAVUNJA MOYO ILA WOTE MUNGU AWABARIKI...SISI NI VIJANA BADO TUNATAFUTA FURSA NZURI ILI TUSIJE SINGIZIA NDUGU WABAYA HUKO UZEENI.. hiki nilichokiuliza hapa ni moja ya mapambano yangu...
  2. Play station

    Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    Wanaita cheki namba ila wenyewe wanasema hii sio cheki namba ,sasa tunaishi hivyo hivyo ,ukiuliza kwanini hii cheki namba lakini nyie mnasema sio cheki namba ,wanajibu soon zitakuja cheki namba zile zenyewe then tutaingizwa kwenye lawson.... sasa hii tuliyopewa sijui tuitaje! I wish nitaje jina...
  3. Play station

    Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    Bado sijachelewa kuna mtu kanishauri hivyo kuwa niache kazi ndani ya saa 24 kwa kumlipa mwajiri wangu mshahara wa mwezi mmoja ,ila kuna mwingine kanionya hiyo ni trap kwani nikifanya hivyo nakosa sifa ya kuwa mtumishi tena katika maisha yangu, sijui nani mkweli hapa...
  4. Play station

    Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    Nimesaini offer na letter of appointment ,nina cheki namba pia nishapewa ,niko kwenye probation , lakini hawa wenyeji niliowakuta huku wanasema sisi hatuko kwenye mfumo wa cheki namba kwakuwa hatuko lawson utumishi ,hata mishahara yetu inatoka tarehe za mbali kidogo na taaisis zingine
  5. Play station

    Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    Ndio haitoki hazina ,wanavyosema ,taasisi inazalisha
  6. Play station

    Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    Cheki namba ninayo lakini wanavyosema kuwa hatuko kwenye mfumo wa lawson wa utumishi
  7. Play station

    Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    Siko hapa kurekebishwa naomba nisaidie kwa mawazo nini kifanyike! Tunaambiwa tunalipwa kwa control number
  8. Play station

    Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    Habarini ndugu zangu wa JF natumahi nyote ni wazima! Tafadhali naombeni ushauri juu ya hiki kisa changu. Mimi ni mtumishi mpya wa serekali ,nafanya kazi taasisi A ambayo haiko kwenye mfumo wa cheki namba wala huduma za lawson. Nina miezi minne kazini! Kabla sijasaini offer nilikuwa na pending...
  9. Play station

    Ukiitwa kwenye usaili wa Utumishi wa Umma, Jipange

    SELF degree analipwaje ?? Nimeona kama smfss4
Back
Top Bottom