Ukiitwa kwenye usaili wa Utumishi wa Umma, Jipange

Duuh sasa maswali kama ndiyo haya mbona Kuna watu wamepenya kwenye baadhi ya Ajira za umma na hawana ubora wowote kwenye utendaji hususani kada ya ualimu
 
Interview kama hizi zinazobase kwenye field niliyosomea hunitoi kabisa,nakumbuka nilifanya moja Magereza nilikuwa natabasam tu ,nakumbuka waliniuliza Mambo kama what is project,advantage of using discounted rate, Difference between IRR and CBA ,Importance of appraising a project before execution,niliwapigia vitu wakakubali ila urefu na alama mwilini vikazingua
 
Utumishi SIKU hizi wanatoa sehemu yoyote wanayoona IPO kwenye course outline yako
 
Back
Top Bottom