Recent content by Plasm

  1. Plasm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

    Kila kitu chaitaji kiasi, ukiforce sna ndo unapo umia ,ukiona anakusumbua kua humble Kaa tulia fanya mambo mengine yatakayo kusaidia kumtoa akilini mwako
  2. Plasm

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyanzo na jinsi ya kukabiliana na kujiua

    Kwa kwl elimu zaidi inabidi itolewe kuhusu afya ya akili
  3. Plasm

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?

    Ushirikina Mara nyingi ni WA kuzuia tu maendeleo, na Wala hauleti maendeleo kwa wanaoufanya, ila hapo kweny kifo Cha Mpango wa Mungu na ushirikina nahic mpaka mtu awe na macho ya Roho ndio anaweza jua
  4. Plasm

    JamiiForums Tanzania Hii picha inatafsiri nini, kuhusu nchi za wenzetu na sisi Afrika?

    Shida ya Afrika ni kwamba tunatafsiri vibaya maneno Matakatifu. Watu saiz wapo busy kutafuta sehemu ya miujiza watabiriwe kupata magari na majumba badala ya kufanya kazi kwa nguvu zao wenyewe
  5. Plasm

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Brand kubwa za Korea Kusini

    Na Koran drama zao zinatazamwa Sana duniani kote hasa na wadada, Hawa majamaa wamewateka Sana dada zetu kwa upande wa tasnia ya uigizaji
  6. Plasm

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Mwafrika na watu wengine hauko kwenye rangi tu, hata akili. Mtu mweusi kapunjwa akili

    Kiukwl unayo sema ni kwl ila tukija kweny iyo ishu ya ulinzi kwa watu wa kubwa mi kwaupande wangu naona nisawa kwa mfano kifo Cha raisi wa kwanza wa Zanzibar , yeye alifyatuliwa risasi alipokuepo hakuwa na ulinzi. Ila kwa issue ya akili naona waafrika akili tunazo ila shida tumejawa na uvivu ...
  7. Plasm

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukifa, utanikuta motoni nakusubiri

    Hongera jmn karibu pia kusoma https://www.jamiiforums.com/threads/vyanzo-na-jinsi-ya-kukabiliana-na-kujiua.2021976/
  8. Plasm

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyanzo na jinsi ya kukabiliana na kujiua

    Hii ya Leo hii wapendwa Hali ni tete😥😥 madeni haya
  9. Plasm

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyanzo na jinsi ya kukabiliana na kujiua

  10. Plasm

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyanzo na jinsi ya kukabiliana na kujiua

    Pia hata msongo wa mawazo ni ugonjwa na mtu anaweza rithi pia, so unaweza Kuta kweny familia yao Wana uo ugonjwa wa msongo wa mawazo
  11. Plasm

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyanzo na jinsi ya kukabiliana na kujiua

    Kwa Mimi naona Bora tu kuishi kwani hamna tatizo lisilokuwa na uvumbuzi , ukisema eti ufe Yani uko ndo mateso Zaid heri ya duniani. Hii Imani potofu watu wanabidi waelimishwe ili ipate kutoka hata mashirika ya kidini yafanye kazi katika swala hili
  12. Plasm

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyanzo na jinsi ya kukabiliana na kujiua

    Pia kisayansi, msongo wa mawazo inaweza kuelezewa kwa mitazamo mitatu 1. Upungufu wa vituma taarifa kwenys ubongo; serotonin, norepinephrine na dopamine ( monoamine hypothesis) 2.upungufu au kuharibika kwa mifumo mbalimbali kweny ubongo( neurotrophic hypothesis) 3. Mkengeuko wa hormone kweny...
  13. Plasm

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyanzo na jinsi ya kukabiliana na kujiua

    Hii kisayansi tunaweza sema inaweza kuwa ni magonjwa ya akili maana Kam nilivyosema haya magonjwa ni ya kurithi kwa ndugu wenye mtu mwenye ugonjwa wa akili ana asilimia 10 ya yeye pia kupata hapa naangelea kwa ndugu wa mstari wa kwanza na pia kisayansi inaonesha kwa mapacha wa kufanana endapo...
  14. Plasm

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyanzo na jinsi ya kukabiliana na kujiua

    Asante, Sana upendo ni nguzo ya maisha hata kweny VITABU vya dini wanasisitiza Sana upendo. Mtu akioneshwa upendo , akijaliwa akithaminiwa itamsaidia kujua jinsi gani yeye ni WA maana Sana na bado anahitajika
Back
Top Bottom