Recent content by plas haule

  1. P

    Tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Nina mchumba wangu anatatizo la kukosa kabisa hamu ya tendo ni mwaka sasa tangu awe hivyo na hata akijitahidi hapati kabisa ute hivyo anakuwa mkavu kabisa. Tafadhali anayejua suruhisho hili anisaidie.
  2. P

    Battery and Inverter

    okey hiyo ni kazi ndogo.kwanza nunua kifaa kinaitwa automatic inverter charger ya kuanzia wtt 500 ikitegemeana na matumizi.baada ya hapo kunawaya ambao utatakiwa uchomeke kwenye umeme wa tanesco alafu kuna waya mili kwenye hiyo inverter zenye clip hizo utaunganisha kwa batery zako .hiyo...
  3. P

    Ujuzi katika maswala ya umeme

    Naombeni kujua swala moja kuhusu matumizi ya umeme . Je nikiunganishiwa umeme na TANESCO na nikaamua kutengenezea neutral nyingine nyumbani kwangu na kutumia live ya TANESCO. Je luku yao itasoma garama ileile ya mwanzo au itapumgua.
  4. P

    Msaada: King'amuzi changu hakiniletei chanel nikisearch

    Kila nikijaribu kusearch chanel hamna inayo tokea naomba msaada nifanyeje.
Back
Top Bottom