Recent content by Planet Open School

  1. Planet Open School

    Mwalimu wa History na Kiswahili mwenye uzoefu anahitajika Mwanza

    Habari za asubuhi wakuu, Planet Open School inahitaji mwalimu wa kiswahili na History mwenye uzoefu wa kufundisha kidato cha kwanza hadi cha sita. Planet Open school inapatikana Mwanza Mjini barabara ya Balewa. Kwa mawasiliano: 0737-988897/ 0752-137196
  2. Planet Open School

    Mwalimu wa Accountancy na Commerce anahitajika Mwanza

    Shule hulia ya Planet inahitaji mwalimu wa kufundisha masomo ya Accountancy na Commerce kwa level ya O-level na A-level. Plaet inapatikana jijini Mwanza karibu na Nyanza shule ya msingi barabara ya Balewa mtaa wa Nera. Kwa mawasiliano zaidi: 0737-988 897 au e-mail: planetopenschool2@gmail.com...
  3. Planet Open School

    Mwalimu wa Biology na Chemistry anahitajika Mwanza

    Planet Open School ni taasisi inayochojihusisha na utoaji wa elimu kwa wale wanaojiendeleza kielimu. Taasisi hii inahitaji mwalimu wa Economics, Commerce na Accountancy mwenye uwezo wa kufundisha kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Mwalimu atakuwa na vipindi vitatu kila week kwa kila...
  4. Planet Open School

    Mwalimu wa Biology na Chemistry anahitajika Mwanza

    Planet Open School ni taasisi inayochojihusisha na utoaji wa elimu kwa wale wanaojiendeleza kielimu. Taasisi hii inahitaji mwalimu wa biology na chemistry mwenye uwezo wa kufundisha kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Mwalimu atakuwa na vipindi vitatu kila week kwa kila somo. Baada ya...
  5. Planet Open School

Back
Top Bottom