Watakao elewa hii ni wachache sana wahanga wa hili wapo wengi na sio kwenye ndoa tu, mpaka kwenye mahusiano ya kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya tukio alianza kuwa mgonjwa mgonjwa, na hata siku ya kuaga ilikuwa na utata, maiti ilikuwa inatoa jasho sana na damu puani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu walikuwa na mvutano Kuna ambao walikuwa wanaamini na kuna ambao hawakuamini, shida ilikuwa hapo. Ila walipoenda kuchungulia kila walipokuwa wanaenda wanaambiwa amesimamiwa na jini la kike. Siku ya kuaga maiti ilikuwa ina toka jasho plus damu puani
Sent from my SM-J200F using JamiiForums...
Ilikuwa miaka ya 2001 tulikuwa tunaendaga sana coco siku ya jumamosi na jumapili, mshikaji wetu akatuacha baada ya maongezi na huyo demu akamwambia anakaa mitaa ya Morocco (nanukuu) Kwa hiyo wakaamua watembee maana sio mbali walipokuwa wanakaribia karibia na kanisa wakati mshikaji anaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.