Recent content by Pius magoko

  1. P

    JamiiForums Tanzania Madiwani wakongwe wa CCM Musoma mjini, wamesema moto wa CHADEMA hauzimiki

    Dah.....! nawakubali sana Makamanda wa MUSOMA MJINI, mnatupa raha sana sisi wna wenu ambao tumekua nanyi katika harkati za kubdilisha mfumo wa uongozi katika taifa letu la Tanzania ana kweli CDM na UKAWA kwa ujumla ndo habali yenyewe
  2. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamshukia Mbunge wa Serengeti, Dk. Kebwe

    Ni kweli wanaSERENGETI tumechoshwa na wabunge MABUBU kama WANYANCHA na KEBWE tunaitaji mabadiliko; Nawaombeni ndugu zangu Wangurimi, Wakurya, Wanata n.k msifanye makosa hiyo trh 25/10/2015 ili tuweze kuikomboa Wilaya yetu maana huyo Kebwe hafai kabisaaa
  3. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Tanzania tunataka mabadiliko, na wakati huu CCM haina chake tena ebu tujaribu kwa WANAUKAWA tuone je? watatufikisha wapi...., CCM bye bye byeeeeeeee
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za CCM uandikishaji BVR hizi hapa.!

    kiukwel serikali haikujiandaa juu ya zoezi zima la BVR na hii inasababisha kua na msongamano mkubwa sana wakati wa uandikishaji yani mpaka inapelekea hadi watu wengne kulala kwenye kituo cha uandkishaji, hii inasababisha baadhi ya watu wakate tamaa juu ya zoez zma, je? kwa hali hyo ni haki kutoa...
Back
Top Bottom