MAMBO YA KUKUBALIANA MKATABA WA BANDARI TANZANIA NA DUBAI
JE, Mkataba una matatizo? Ndio, matatizo yapo.
Je, mkataba hauna faida? Faida zipo.
Je, Mkataba ni wa milele au wa miaka 100? Hapana, una kikomo. Na sio miaka 100.
Nianze na kikomo; ibara ya 5, kipengele cha tatu, inasema baada ya...