Recent content by PITCO

  1. P

    Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

    msiulize UKAWA ndio habari ya mjini
  2. P

    Kwa haya CCM inastahili kupigiwa kura hapo oktoba 25, 2015

    CCM imefikia mwisho wake.
  3. P

    Yaliyotabiliwa na nabii kuhusu mabadiliko yatimia(lowasa)

    KWELI: Nisiposema hili wengi hawatalipatia uzito. -Baba wa taifa ndie nabii ninayemzungumzia WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO WASIPOYAPATA NDANI YA CCM WATAYAPATA NJE YA CCM. ATAEIANGUSHA CCM ATATOKA NDANI YA CCM. Dalili zote zinazihirisha kuwa unabii huu utatimia. MUNGU IBARIKI TANZANIA
  4. P

    Mkutano wa CHADEMA Songea wa kumnadi mgombea ubunge na madiwani

    ya ccm hayooooooo. Acheni kujifariji october 25 hamna chenu.
  5. P

    Tulio apeal loan board

    Jamani naomba tufahamishane kama una uzoefu au Data za kuaminika. Hivi mwezi gani majina ya waliopata loan huwa yanatoka baada ya kuappeal. Chuon bila mkopo bola jela
  6. P

    NACTE na equivalent bado utata tupu

    Kweli mambo ya nacte yanatutesa nafsi sana. Wameanza kuweka mabadiliko kwenye profile zetu lakini mabadiliko hayo nimaajabu matupu mf. Mimi wameniandikia eligible kwa facult mbili nilizoomba zinginine checking inprogress kinacho nitesa kwenye hizo eligible kwenye capacity ni zero. Je wenzangu...
Back
Top Bottom