Recent content by pitbull

  1. pitbull

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kubadilisha lugha kwenye redio ya gari

    Habari za muda huu nilikua naomba msaada jinsi ya kubadilisha redio ya gari kutoka lugha ya kijapani kuja kingereza!
  2. pitbull

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kwenye Nissan dualis?

    Habari za muda huu nilikua nauliza taa hii kwenye nissan dualis in maama gani
  3. pitbull

    JamiiForums Tanzania Nichukue ipi kati ya IST na Corolla Runn X?

    Sio new model mkuu iyo bei yake imechangamkaa
  4. pitbull

    JamiiForums Tanzania Nichukue ipi kati ya IST na Corolla Runn X?

    Ist ni imara zaid kuliko runx
  5. pitbull

    JamiiForums Tanzania Nichukue ipi kati ya IST na Corolla Runn X?

    So apo ipi imekaa vizur
  6. pitbull

    JamiiForums Tanzania Nichukue ipi kati ya IST na Corolla Runn X?

    Habari za jioni wadau, Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?? Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote
  7. pitbull

    JamiiForums Tanzania Nichukue ipi kati ya IST na Corolla Runn X?

    Habari za jioni wadau, Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi? Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote.
  8. pitbull

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya Bamper ya Premio x 2003

    Naomba kujua bei ya bamper ya mbele ya gari tajwa hapo juu.
  9. pitbull

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Habari za jioni wadau Nataka kumiliki silaha either bunduki au bastola so nilikua naomba kwa wenye uzoefu naomba kujua sehemu naweza kununua silaha na bei zake na ni vibali gani vinahitajika hadi niweze kumiliki silaha niatashukuru sana kama nitaweza kupata maelekezo
  10. pitbull

  11. pitbull

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata tray ya kuweka line ya iphone 11

    sipo dar mkuu
Back
Top Bottom