Recent content by Pisi kali

  1. Pisi kali

    Mbwana Samatta kijana mdogo anafanya uwekezaji wa kibabe bila makelele wala show offs

    Kanisani road (karibu na kanisa la mama rwakatale)
  2. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    NISHAWAKAMATA
  3. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    Mwezi wa 10 tar 12 na nilipanga mwezi wa 11 nikatoe sadaka kwa watoto but still nitapeleka asilimia kadhaa
  4. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    Ndio na wamewaliza watu wengi sana
  5. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    Unaongea nini na wewe Haya wakanishtaki
  6. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    Nimepost video ya hao wezi
  7. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    Asanteni 🙏🏽🙏🏽 Yan total waliyoniibia ni kuku 208 208x6500=1,352,000 Kiulainiiii kmmm Yan wale wanatumia dawa plus kukuzubaisha kila mtu anakuongelesha huyu anakushauri hivi huyu hivi yani maneno mengi
  8. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    Mmhhh unawajua au?
  9. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    Tulikua wawili Wana mbinu plus madawa sijui imekuwaje yani😭😭😭😭
  10. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    Nina majonzi nimeshindwa hata kuandika vizuri Ila ni tukio la kweli na hao watu inasemekana ndio michezo yao muda mrefu sana
  11. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    😭😭😭😭😭😭😭😭
  12. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    Hakuna msaada huko
  13. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    Ni asubuhi ya tar 29-10-2024
  14. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    Ni leo au tuseme jana asubuhi yani wamekuja na pickup wakapaki nje ya geti wamekuja na tenga wamelifunga funga wakahesabu kuku 80 sijui wametumia kiini macho maana tumeona ksnisa kuku 80 wakajifanya kila mtu analipia ya kwake mmoja akasema ye hana cash ko wakalipia kuku 60 Tunaluja kuzinduka...
Back
Top Bottom