Recent content by pinnah

  1. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi: Mtu yuko nje ya Nchi anakwambia andamana na wewe unaingia barabarani unafanya uhalifu, hii haikubaliki. Niongelee watu kufa kwenye nini?

    Huyo aliyeko nje ndio aliyempa kesi lissu???? Kamteka pole pole? Heche? Niffer??? Serikali ijitafakari!!! Inakataa kuwajibika kwa mambo yaliyo wazi kabisa??? Kumbe tena kuna vikosi mahiri vinavyoweza kuua hivyo kwanini wasiue hai watekaji????
  2. P

    JamiiForums Tanzania Lodge mwananyamala

    Habari wadau nahitajika kuwepo dar kwa usiku mmoja na mimi ni mgeni jijini je nawaleza pata lodge maeneo karibu kabisa na mahakama ya ardhi Mwananyamala kwa budget ya shs 20000 kwa usiku mmoja msaada please.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo mdogo(Urgently)

    nipo dar es salaam. ubungo
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo mdogo(Urgently)

    Habari ndugu, Nahitaji mkopo wa 500000 ndani ya 24 hours ambao nitalipa tarehe 4 kwa riba ya asilimia 20. nina tatizo urgent. tafadhali niko serious. Ninamiliki biashara iliyosajiliwa, kwa uaminifu zaidi mkopeshaji anaweza pajua ofisini.
Back
Top Bottom