Recent content by Pinnacle

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    [emoji111][emoji111]
  2. P

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

    Nchi hii ina wachambuzi uchwara wengi sana. Sad!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Polisi Watakiwa kuwasilisha Mikataba ya ujenzi eneo la Kunduchi, Mikocheni na Oysterbay jijini Dar

    Kwani katibu mkuu si ndio accounting officer? Kuna haja ya press release? Pathetic!
  4. P

    JamiiForums Tanzania CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

    Natamani lusinde aombe...kiboko ya malecela
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nauliza ni kwanini mpaka leo vyuo vikuu Afrika Kusini hawasomi bure?

    Hapa issue ni Udharula wa tukio. Hao wana wasomi wa kutosha na fursa za kutosha na wamepata elimu bora. Hapa kwetu angalia hali ilivyo. Angalia uwiano kati ya waliosoma vs wasio soma pia lingalisha na hizo nchi. Wazungu wanasema "one size does not fit all" usilinganishe kipumbafu na kilofa!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Za kuambiwa changanya na zako!!!!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ni mafuriko, Tabora yazizima

    Ivi tabora mbona kila mgombea anajaza kirahisi?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na Inspekta Haroun kutoa wimbo kumjibu Roma (Viva Roma)

    Njaa inaua jamani! Tumsamehe tu huyu jamaa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanganyika packers: Kampeni ya chama cha demokrasia na maendeleo 01/10/2015

    Hivi umewahi kujiuliza kama sumaye ni zero wewe utakuwa ninini? Shame on you!
  10. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Katibu wa CCM Ilala afariki Dunia

    Poleni sana, Mungu awape faraja wafiwa
  11. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, alikuwa Mkurugenzi wa TADIP kabla ya kuondoka CHADEMA

    Kwani zitto si ni consultant wa twaweza!!!! Analipwa dollar 2000 kila mwezi!!! Mkuki kwa nguruweee eeeh
  12. P

    JamiiForums Tanzania Walisombwa na CCM wakatelekezwa, CHADEMA ikawasitiri

    Nakulilia kamanda
  13. P

    JamiiForums Tanzania Monduli ipo nyuma kimaendeleo kuliko sehemu zote

    Hata muhimbili ambako ni kama 3 km kutoka ikulu hakuna huduma nzuri za afya...wanaenda zao kutibiwa ulaya na marekani
  14. P

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Wanafunzi wake wa mwaka wa pili UDSM hawajui kirefu cha TANU!

    Pia ubovu huu huu wa elimu ndio umafanya Mwl. Bashiru toka aanze kusoma Phd miaka 15 iliyopita awe hajapata hiyo Phd, wanafunzi wake kina Makulilo wanakuwa ma senior lecture na wakuu wa Idara yeye yumo tu! Ni mtazamo tu jamani
  15. P

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Wanafunzi wake wa mwaka wa pili UDSM hawajui kirefu cha TANU!

    Ndio maana tutawapigia kura wenye vipaumbele 1. Elimu, 2. Elimu na 3. Elimu
Back
Top Bottom