kama ni kweli basi hii imeshakuwa hatari...lakini na yeye Zitto kwa nini hakomi.,wamemkosa na Ben Saanane kumnywesha sumu, aliponusurika ametangaza atakuwa wa mwisho kuondoka Chadema..,Dah jamaa ana roho mbaya sana aisee..huu ni zaidi ya Ungangari wa CUF.
kama wamezoea kulisha watu sumu, wamezoea kung'oa wenzao kucha na kumwagia wenzao tindikali unafikiri watashindwa nini..?
Mlipoambiwa hawa sio watu hamkuamini sasa na muone kwa macho yenu kama nafsi zenu hazioni.
huyu kijana sijui lini atajitambua..,hivi nyie mmeamua kukodisha akili zenu ama..? maana sielwi mtu na akili yake anaanzaje kumtetea kagame.,yaani hata sense ya uzawa wa kawaida hamna. Ni bahati mbaya sana kwa nchi kama hii kuwa na vijana aina yako na wazee kama Slaa. Unamteteaje KAGAME.,anawapa...
Punguzeni matusi na person attack bwana mnaharibu hili jukwaa. Mods nanyi kuweni makini mambo kama haya yanashusha hadhi ya forum na kufanya hata wachangiaji kudharaulika., tuweni makini basi.
katika jambo ambalo litawafanya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiendelee kubaki madarakani ni pamoja na kuwa na Vijana wa aina hii ya Makonda ambao wanauwezo wa kuona mbali na kushirikisha ubongo wao katika maamuzi. Yaani umeandika kitu ambacho kila mwenye akili anaona ni kitu gani unakimaanisha hapa...
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia (CHADEMA) amewekewa pingamizi na Chama Cha wananchi CUF kutokana na kutotimiza mashariti katika fomu yake ya Ugombea aliyoichukua tume ya Uchaguzi (NEC).
Viongozi wa CUF jimboni humo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.