Eeh bora umemwambia😂😂😂,anasahau kwamba watu ukilamba asali wanakuuliza ebu tupe siri ya mafanikio nasi tunajibu technique zile zile hakuna mpya sasa nielezee zingine wakati ni zile zile tu labda namna ya kuzielezea
Ndugu zangu nafasi zilizotoka si haba,Nadhan na nyingine nyingi zitatoka,si vibaya ukaanza kujiandaa ukasoma materials yako basing na job description utapata areas za kufocus zaidi,kama kuna magroup au unaweza ukaanzisha WhatsApp group mkajisomea naamini watu wana materials ya kutosha hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.