Recent content by Pinacolada

  1. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Basi wapigie simu kama utawapata.
  2. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sawa sawa maana disappointment ya PSRS inavurugaga akili
  3. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kheee, ebu sreenshot tuone
  4. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Kufufua TIN number ya biashara

    Ndio
  5. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Kufufua TIN number ya biashara

    Nielekeze
  6. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Kufufua TIN number ya biashara

    Wapendwa habari zenu, Naomba kuuliza kwa mtu ambae alikata TIN ya biashara lakini hakuanza hiyo biashara na Tin alipewa, sasa ni miaka miwili hakurudi, Je hiyo kuifufua Tin haina shida na hakuna faini? Naomba mwenye experience na ili anijulishe.
  7. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Je, endapo Taasisi itakayotangulia kumuita ikawa ni miongoni mwa alizoziweka kama ziada na sio ile yenye kazi anayoipenda afanye nini?

    My friend alifanya interviews mbili utumishi,ya kwanza akapita ilikua ya Self microfinance fund na ya pili TTCL akapita,tayar alikua kasharipot SMF na PDF ya pili ilivyotok ya TTCL Kaitwa,alikua anatak kwnd TTCL sjafatilia sjui alifanikiwa au vp
  8. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Typying error maana makarani wote mmekua wasimamizi wa maudhui
  9. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mliopata hongereni nawatakia kazi njema,tuliokosa basi tushukuru haikua ridhiki yetu, Aluta continua😹
  10. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kama kata yetu wamebandika kbsa wanahitajika wangapi
  11. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

    Ya katibu na pia ukiingia kwenye account yako kuna sehemu ya feedback napo nikawaandikia maelezo yangu,nlivyoona simu hawapokei.
  12. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

    Ukifaulu according to utumishi mnawekwa kwnye data base so nafasi zikitokea mnachukuliwa uko kwenye kanzidata,kingine ata mkiitwa elfu 10 anahitajika mmoja kma mtu una nauli bora uende tu mengine yatajulikana uko uko,you never know hyo nafasi n yako au nn kitakuja kutokea
  13. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

    Kuna kazi moja na mimi niliwacontact wakaniita kwenye list ya nyongeza so watumie email kma vigezo vyote unavyo
  14. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Written ni kujitaid kwenda na muda ufanye maswali yote ata kama hujui points zote atleast ujaze points unazozijua but angalau umefanya maswali yote iki pia nimejifunza kwenye written maana muda unavoenda kma masihara.
  15. Pinacolada

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Written kma 350,oral almost 60
Back
Top Bottom